Tuesday, October 30, 2018
SACOSS NCHINI ZAASWA KUENDELEA KUTOA ELIMU YA USHIRIKA KWA WANACHAMA
11:42 AM
Na Lucas Mboje, Dodoma
VYAMA vya ushirika
nchini vimetakiwa kuendelea kutoa elimu ya ushirika mara kwa mara kwa wanachama
wake ili kujenga uelewa wakutosha kuhusu sheria, kanuni na masharti mbalimbali
ya ushirika.
Akizungumza
katika Mkutano Mkuu wa sita wa mwaka wa Chama cha Ushirikia wa Akiba na Mikopo
cha Watumishi wa Jeshi la Magereza nchini, Kaimu Mrajisi wa Vyama vya Ushirika
nchini, Bw. Philemon Chilewa ametoa rai hiyo kwa vyama vya ushirika nchini
kuendelea kutoa elimu ya ushirika kwani ni muhimu katika uendeshaji wa shughuli
za chama.
Amesema
kuwa elimu ya ushirika isitolewe tu kwa watendaji na viongozi wa chama bali
itolewe kwa wanachama wa ushirika ili wajue uendeshaji wake na kunufaika na
huduma zitolewazo na chama.
“Vyama
vingi vya ushirika hapa nchini vimekufa kwa kukosa elimu ya ushirika, niwaombe
sana wasimamizi wa ushirika muendelee kutoa elimu kwa wanachama”. Amesisitiza
Kaimu Mrajis Chilewa.
Aidha,
Kaimu Mrajis Chilewa amewaasa Magereza SACCOS pamoja na Saccos zote nchini
kufanya shughuli zake kwa kufuata sheria ya ushirika pamoja na kuheshimu na
kusikiliza maoni ya wanachama kwani wao ndo wenye mali.
Ameongeza
kuwa kwakuwa Mkutano huo utahusisha uchaguzi wa mjumbe mmoja wa Bodi, Bw.
Philemon Chilewa pia amewaasa wajumbe wa Mkutano huo kuwa makini katika
uchaguzi huo kwa kuchagua mtu mwenye weledi na mwenye mapenzi ya dhati na
ushiriki wao ili aweze kutimiza majukumu yanayokusudiwa.
Awali,
akimkaribisha Mgeni rasmi katika Mkutano huo, Mlezi wa Magereza Saccos, ambaye
ni Kamishna Jenerali wa Magereza nchini – CGP Phaustine Kasike amesema kuwa
idadi ya wanachama imeongezeka hadi kufikia wanachama zaidi ya 13,000 ikiwa na
mtaji wa zaidi ya bilioni 20 hivi sasa.
Pia,
Mlezi wa Magereza Saccos, CGP Kasike ameongeza kuwa pamoja na changamoto za
mabadiliko ya kiuchumi, kumekuwa na ushindani mkubwa wa Taasisi za kifedha
katika kutoa huduma za mikopo kwa wanachama.
Chama
cha Ushirikia wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza nchini
kilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo la kupunguza umasikini na kuinua hali ya
maisha ya watanzania hususani watumishi wa Jeshi la Magereza.
SACOSS NCHINI ZAASWA KUENDELEA KUTOA ELIMU YA USHIRIKA KWA WANACHAMA
11:28 AM

11:14 AM

11:13 AM

11:12 AM

11:11 AM

Monday, October 15, 2018
Tuesday, October 9, 2018
KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BAJETI YA SHIRIKA LA MAGEREZA KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 MKOANI MOROGORO
5:35 PM
Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike
akisalimiana na Kamishna wa Utawala Gaston Sanga pamoja na viongozi waandamizi
wa Jeshi la Magereza alipowasili katika
Ukumbi wa Mikutano wa Mwamvita
Mkoani Mororgoro tarehe 9 Oktoba 2018.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Gideon Kingu
akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike alipowasili
katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwamvita Mkoani Mororgoro.
Mdhibiti
Mkuu wa Shirika la Magereza,Naibu Kamishna Afwilile Mwakijungu akitoa maelezo mafupi
kuhusu Shirirka kabla ya mgeni rasmi kukaribishwa kufungua kikao.
Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akitoa maelezo mafupi kabla ya
kukmkaribisha Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Jacob Gideon
Kingu kufungua kikao.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Gideon Kingu akisisitiza
jambo kwa Wakuu wa Mikoa ya Kimagereza, Wakuu wa Magereza na Wakuu wa Miradi
mbalimbali ambayo iko chini ya Shirika la Magereza, kabla ya ufunguzi rasmi wa
Kikao.
Wakuu wa Magereza na Wakuu wa Miradi mbalimbali ambayo iko chini ya Shirika la
Magereza wakiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi pamoja na viongozi wakuu wa Jeshi la Magereza nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Gideon Kingu (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa juu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara. Kulia kwa katibu mkuu ni Kamishna Jenerali Kasike, Kamishna wa Sheria na Utawala wa Magereza Uwesu Ngarama na Kamishna wa Miundo Mbinu na Uzalishaji Tusekile Mwaisabila. Kushoto kwa Katibu Mkuu ni Kamishna wa Utawa na Rasilimali watu Gaston Sanga, Kamishna wa Fedha na Mipango Gideon Nkana na Kamishna wa Huduma za Parol,Viwanda,Huduma za Jamii na Program za Urekebishaji Augustine Mboje.Waliosimama ni Manaibu Kamishna.