Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi
ya Ulinzi na Usalama, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba fupi
kwenye hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi
wa Taifa, Lugalo Jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la
Msingi la Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Lugalo Jijini Dar
es Salaam leo Agosti 31, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia
ramani/mchoro wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Lugalo Jijini
Dar es Salaam leo Agosti 31, 2015(kushoto) ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange akitoa
maelezo mafupi ya mradi huo wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa,
Lugalo Jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2015 kabla ya
kumkaribisha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein
Mwinyi(hayupo pichani).
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja
akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Jumbe Mangu
kwenye hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi
wa Taifa, Lugalo Jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2015.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja akiteta jambo
na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda(Picha zote na Lucas
Mboje wa Jeshi la Magereza.
Baadhi ya Maafisa wa Ngazi za Juu wa Jeshi la Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa wakifuatilia kwa umakini mkubwa hotuba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na
Usalama kwenye hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Makao Makuu
ya Ulinzi wa Taifa, Lugalo Jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi
ya Ulinzi na Usalama, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete(katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange(wa nne kulia) walioketi. wa
pili kulia waliosimama) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza
nchini, John Casmir Minja(wa tatu kulia waliosimama) ni Mkuu wa Jeshi la
Polisi nchini, Ernest Jumbe Mangu na wa kwanza kulia ni Kamishna Mkuu
wa Idara ya Uhamiaji, Sylvester Ambokile.