Banner

Banner

Thursday, February 4, 2021

RAIS MAGUFULI AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA SULEIMAN MZEE

 

 Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Dkt John Pombe Magufuli (wa pili kushoto) akiwasili katika viwanja vya nyumba 20 Gereza Isanga kabla ya kuzizindua leo tarehe 4 Februari,2021. Wa tatu toka kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza Mej. Jen Suleiman Mzee

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt, John Pombe Magufuli (wa tatu toka kushoto) akizindua nyumba 24 zilizopo katika viwanja vya Gereza Isanga Jijini Dodoma leo tarehe 4 Februari,2021.

Injinia wa Mradi wa Kiwanda cha samani kilichopo Msalato, Mrakibu Bonaza Malata(wa pili kulia) akitoa maelezo mafupi ya ujenzi wa kiwanda hicho kwa Rais Magufuli.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Dkt John Pombe Magufuli(wa tatu kushoto) akikata utepe katika uzinduzi wa ofisi ya Makao Makuu ya Magereza,Msalato Jijini Dodoma.Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. George Simbachawene na wa pili kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza Mej. Jen Suleiman Mzee.