Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira akipokea Salaam ya Kijeshi kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Mbeya, SACP. Dhahiri Kidavashari alipowasili leo Julai 8, 2016 katika
Uwanja wa Ndege wa Songwe tayari kwa kufunga Mafunzo ya Awali ya
Uaskari Magereza kesho Julai 9, 2016 katika Chuo cha Magereza, Kiwira
Mkoani Mbeya(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP - John
Casmir Minja.
Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP - John Casmir Minja(kulia) akiwa
ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira walipowasili leo jioni Julai 8, 2016 katika
Uwanja wa Ndege wa Songwe, Jijini Mbeya(Picha zote na Lucas Mboje wa
Jeshi la Magereza).