Friday, May 17, 2019

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NDANI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WAKUU WA MAGEREZA YOTE TANZANIA BARA, LEO MKOANI MOROGORO

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (kushoto) akiwasili katika Viwanja vya NaneNane, Mkoani Morogoro tayari kwa Ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Magereza yote Tanzania Bara kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Mei 17 – 18, 2019 katika Ukumbi wa Magereza Mkoani Morogoro. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu akihutubia katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Magereza yote Tanzania Bara kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Mei 17 – 18, 2019 katika Ukumbi wa Magereza Mkoani Morogoro.  Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike.

. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Ulinzi na Usalama, Mhe. Salum Rehani(vazi la kiraia) akiongea katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Magereza yote Tanzania Bara, leo Mei 17, 2019 katika Ukumbi wa Magereza Mkoani Morogoro. Kushoto  ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, Phaustine Kasike
Baadhi ya Wakuu wa Magereza wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu(hayupo pichani).

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, Phaustine Kasike akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu baada ya ufunguzi wa Kikao kazi cha Wakuu wa Magereza yote Tanzania Bara.