Friday, January 13, 2017

VIDEO: ASKARI WAHITIMU WA MAFUNZO YA KIKOSI MAALUM WAKIONESHA UWEZO WAO MBELE YA WAZIRI NCHEMBAAskari Wahitimu wa Mafunzo Maalum ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Magereza Kozi Namba 11 wakitoa maonesho mbalimbali ya Ukakamavu na ujasiri mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba(Mb) alipofunga rasmi mafunzo ya kikosi hicho leo Januari 13, 2017 katika Viwanja vya Kikosi Maalum cha Kutuliza Ghasia Magerezani kilichopo Ukonga, Jijini Dar es Salaam.

Video kwa hisani ya Ayo TV