Wednesday, August 15, 2018

Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa Apongeza Jeshi la Magereza.

Rais Mstaafu Benjamini Mkapa Akisaini Kitabu cha Wageni alipotembelea Banda la  Magereza Nanenane Mkoa wa Simiyu.

Asp Yunge Saganda akimpa Maelezo ya Bidhaa za Ngozi  Rais Mstaafu Benjamin MkapaRais Mstaafu Benjamin Mkapa Akiangalia Bidhaa za Nafaka zinazozalishwa na Jeshi la Magereza katika Mkakati wake wa Kujitosheleza kwa Chakula.

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikagua Samani zinazotengenezwa na Jeshi la Magereza katika Programu zake za Urekebishaji wa Wafungwa.