Wednesday, June 3, 2015

Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu kamishna mkuu mstaafu wa Magereza Onel E. Malisa tarehe 4/6/2015

TAREHEMUDATUKIOMHUSIKA
4/6/2015 2:00 - 3:00 ASUBUHI KUANDAA MWILI WA MAREHEMU HOSPITALI YA JESHI LUGALO NDUGU & INSP(MED)
3:00 - 4:00 ASUBUHI MWILI WA MAREHEMU KUWASILI NYUMBANI NDUGU
4:00 - 6:00 MCHANA CHAKULA NYUMBANI KWA MAREHEMU CATERER
6:00 - 6:30 MCHANA MAJIRANI NA NDUGU KUTOA HESHIMA ZA MWISHO NYUMBANI KWA MAREHEMU SACP(C/S)
6:30 - 6:45 MCHANA VIONGOZI WA KITAIFA KUWASILI CHUO UKONGA CGP
6:45 - 7:00 MCHANA MWILI WA MAREHEMU KUWASILI ZAHANATI YA CHUO UKONGA SACP(C/S)
7:00 - 7:05 MCHANA MWILI WA MAREHEMU KUPELEKWA VIWANJA VYA CHUO UKONGA SSP(T&C)
7:05 - 7:20 MCHANA SALA MCHUNGAJI
7:20 - 7:30 MCHANA WASIFU WA MAREHEMU SACP(FC)
7:30 - 7:45 MCHANA SALAMU TOKA JESHI LA MAGEREZA CP(RS)
7:45 - 8:15 MCHANA SALAMU MBALIMBALI SACP(C/S)
8:15 - 8:25 MCHANA NENO LA SHUKRANI KUTOKA KWA FAMILIA YA MAREHEMU MHUSIKA ALIYEANDALIWA
8:25 - 9:45 ALASIRI KUAGA MWILI WA MAREHEMU SACP(C/S)
9:45 - 10:00 ALASIRI SALA YA KUOMBEA SAFARI MCHUNGAJI
10:00 - 11:00 JIONI MWILI WA MAREHEMU KUSAFIRISHWA KWENDA MOSHI MKUU WA MSAFARA